Mungu hututia nguvu kwa Injili

Sasa na atukuzwe yeye awezaye kuwafanya imara, sawasawa na injili yangu na kwa kuhubiriwa kwake Yesu Kristo, sawasawa na ufunuo wa ile siri iliyositirika tangu zamani za milele 26. Ikadhirishwa wakati huu kwa maandiko ya manabii ikajulikana na mataifa yote kama alivyoamuru Mungu wa milele, ili waitii Imani— 27. Ndiye Mungu mwenye hekima pekee yake. Utukufu una yeye kwa Yesu Kristo, milele na milele! Amina.

Leo tunaanza ibara ya mwisho ya waraka kuu zaidi kuwahi kuandikwa, barua ya Paulo kwa warumi. Baadhi yenu watauliza swali: Je! Tumemalizana na kitabucha warumi kabisa? Wengi wenu hawakuapo tulipoanza kitabu hiki Aprili 26, 1998, Miaka saba na nusu iliyopita. Wengi wataja tarehezao kwa kufika Bethlehemu na sura ya Warumi walipowasili. Sasa mwisho umekaribia. Kuondoa wasiwasi na kukuandaa kwa mabadiliko, nitakueleza mpango

Kutua kwenye matayarishoya sherehe za Krismasi polepole na taratibu

Ayah ii ya mwisho (Warumi 16:25-27) inaibua kwa pamoja mada muhimu kwa barua hii kuwa inaanda njia mzuri kwa kutua polep ole tena taratibu. Miaka yetu saba katika kupaa pamoja hakutakoma ghafla. Ni jeti kubwa na haianguki tu kutoka angani kama kilabu ya Piper (kucheza tunduni). Nini mpango wa kutumia wikitano kwa mistari hii, kumaanisha natarajia kukamilisha kitabu cha Warumi Jumapili, Desemba 24 mkesha wa krismasi. Mkesha wa krismasikuwa kilele. Nawasihi muombe namiiuli Mungu afanye Jumapili hizi za maandfalizi ya Krismasi (kuanzia wiki ijayo) kuwa msimu wenye nguvu kuwahi kuwa nayo kumhimidi Kristo na kuona watu wabadlishwa kwa imani na kujengwa ndani yake.

Mfumo wa sifa huvutia kwa utukufu wa Mungu

Mistari tatu ya mwisho kwenye kitabu cha Warumi ndiyo mara nyingi tunaita Mfumo wa sifa. Neno Mfumo wa sifa  yatoka kwenye neno la kigiriki doxa  linalomaanisha Utukufu na logos  ambalo  ni  neno. Mfumo wa sifa  linafafanua utukufu wa Mungu. Hukumu uliopo katika  agano jipya  kwa mfumo wa sifa ni kuwa kila kitu kilichoko na kinachotendeka huvutia kwa utukufu wa Mungu.

Hii ndiyo sababu mfumo wa sifa huwa ni kilele na mwisho wakatiwa kuhubiri au kuandika. Namuunga Paulo mkono anaposema kuwa kila kitu anacho asema hata sas. Ninaomba, kivutie kwa utukufu wa Mungu.

Sasa Paulo anaanza mfumo wake wa sifa kumalizia katika mstari wa 25 (Sasa na kwake . . . ), na anapoandika hayo akilini ana neno la mwisho la mfumo wa Sifa kuhusu kumrudisha Mungu utukufu na hawezi kuleta hali ya kuachilia kiurahisi kuwa “Sasa utukufu na uwe wake.” Badala yake analeta kifungu baada ya kifungukuhusu yeye. Yaani Mungu Baba na kuhusu injili yake amekuwa akiandika kwenye sura hizi kumi na sita. Halafu akiandika kwenye sura hii kumi na sita. Halafu anaja kurudisha utukufu kwenye mstari wa 27, neno la mwisho kwenye kitabu hiki. Anaweka mwanzo na mwisho pamoja kwenye utangulizi wa mstari wa 25. Na kuanzia mstari wa 27. “Sasa kwake yeye (27) Ndiye Mungu mwenye hekima pekee yake utukufu una yeye milele na milele kwa Yesu Kristo! Amina.”

Hapa si mahali pekee Paulo ametumia mfumo wa sifa. Kulikuwa na moja katika Warumi 11:36 kwa kilele cha mistari kumi na mmoja kabla ya Paulo kuanza kufunua mengi ya matokeo ya moja kwa moja ya kile amefunza.” Kwa kuwa vitu vyote vyatoka kwake viko kwa uweza wake, tena vinarejea kwake. Utukufu una yeye milele Amina.” Tazama (Wafilipi 4:20 na Waefeso 3:20-21)

Na Paulo pekee siye ndiye aliyependa mfumo wa sifa. Petero alisema katika I Petero 4:11 “Utukufu ni wake na maamlaka milele na milele, Amina. Yohana mtume alisema katika Ufunuo 1:5-6. “Kwake aliyetupenda na kutuweka huru kutoka kwa dhambi kwa damu yake na kutufanya kwa ufalme na makuhani kwa Mungu, naye ni baba yake. Utukufu naukuu una yeye hata milele na milele Amina. Vile vile Juda nduguye Bwana aliandika mfumo wa Sifa unaojulikana sana zaidi ya yote (Juda 1:24-25) “Yeye awezaye kuwalinda nyinyi msijikwae, na kuwasimamisha mbele ya utukufu wake bila mawaa katika furaha kuu. Yeye aliye Mungu pekee, Mwokozi wetu kwa Yesu Kristo Bwana wetu, utukufu una yeye, na ukuu, na uwezo, na nguvu tangu milele, na sasa, na hata milele.” Amina.

Basi unaposikia mfumo wa sifa ukikaririwa na kuimbwa, ujue kuwa ni kulingana na Bibilia njia ya kuongea kwa mitume ambayo shina yake ni umuhimu wote na kushikilia ukweli kuwa kila kitu kiko kuvutia kwa utukufu wa Mungu.

Hiyo ndiyo twashughulikia katika wiki tano za mwisho. (kitatu cha Warumi). Ni pana zaidi katika mfumo wa sifa na kina uzito kwenye ukweli kuhusu Mungu na Injili. Unaweza kuwa na uhakika kuwa Paulo anatamatisha kilichokuwa kwake barua ndefuna kuu zaidi ambayo amewahi kuandika, hangetumia maneno yasiyo na uzima wowote. Maneno yote yana maana. Haya ni maneno yake ya mwisho kwaWarumi. Paidha yanawezaya mwisho kwako. Natumaini mtasikiza kwa makini na mtarejea kwenye wiki hizi za mwisho wa mwaka, ili kuona malaika watano katika mfumo huu wa sifa.

Mungu hutumia Injili kuwatia nguvu Waumini

Leo ningependa kuwa na mtazamokwenye ujumbe huu kuwa Mungu huwatia nguvu watu wake kulingana na injili yake. Mstari wa 25 “sasa na atukuzwe awezaye kufanya imara sawasawa na injili ambayo inawaimarisha waumini. Injili hii inayoimarisha ni “Mahubiri ya Yesu Kristo.” (Mis 25b). Yesu ndiye kigezo cha uhakika ya Injili. Injili hii ni “Kulingana na ufumo wa ssiri kwa Mataifa yaliyojaa wazalendo na Wayahudi walioamini Kristo kwa Imani. (Waefeso 3:6). Habari hii njema “sasa imefichuliwa. ”(Mist. 26b) wenyewe ambao Paulo anawatumia kudhihirisha sisi hii kwa mataifa yote (Mist 26b). Habari hii njema kwa mataifa ni “ amri ya Mungu wa milele.” na inalenga”utiifu wa imani.” (Mist wa 26c)

Kufunuliwa kote hukukwa injili katika mstari wa 25 ambayo mungu anaitumia kuimarisha waumini ili waweze, kwa uhakika, kustahimili katika utiifu wa imani na kuvutia kwa utukufu wa Mungu.

Mtazamo wa leo ni kwa hoja wa ajabu: Mwishoni mwa kitabu hiki, vile Paulo anavyoweka mdomoni maneno yake kwenye mfumo wa sifa, kile anachokichagua kumrudishia Mungu ni kwamba Mungu ana uwezo wa kukutia mvuto kwa utukufu wa Mungu, nafanya hivyo kwa njia inayofanya utkufu ung’ae zaidi kwa Mungu kuwaimarisha watu wake wanaoiamini injili.

Mungu anayeimarisha kwa utukufu wake

Sasa kuna jambo hapa la ajabu sitaki kulipita kwa haraka huenda ukalikosa. Basi wacha niseme kinacho julikana na kisichojulikana kinachojulikana ni kuwa kwa vitu vyote angesema kuhusu kile Mungu anafanya au kutenda ambavyo vyavutia kwa utukufu wake, kwa yote thenashara ya makuu ya matendo ya Mungu na uweza mkuu wake anachagua kuangazia kimoja: “Sasa kwake awezaye kukuimarisha . . . utukufu una yeye milele na milele . . . ” anasema kuwa Mungu mwenye hekjima aliuficha kitu kwa miaka mingi na aliufichua kwa ajili ya mataifa na aliyafanya yote kwa amri yake ya milele. Ndiyo, lakini vile Paulo alivyounda mfumo wake wa sifa, kwa yote yanayosaidia na kutoa maelezo juu ya jambo lili moja ni: Mungu ana uwezo wa kukuimarisha. “Sasa kwa yeye awezaye kukufanya imara . . . Utukufu una yeye milele hata milele . . .”

Sasa hii ndiyo hoja inayojulikana: Hii ndiyo isiyojulikana lakini ya muhimu wazi ikiwa mtu ataitambulisha kwetu. Wafalme wengi katika historian a watawala wa kiimla wa leo wanataka wapokee utukufu. Wanataka wajulikane kuwa ni wenye nguvu, matajiri na wenye hekima. Wameifanya vipi? Kwa kuwaweka raia kuwa dhaifu maskini na kutoelimika. Aliyeelimika hatari kwa muimla watu aliostawi kiasi ni kikwazo kwa muimla. Watu wenye nguvu ni kiwewe kwa nguvu za muimla. Basi wao hufanya nini. “Wanalinda nguvu zao wenyewe kwa kuwaweka raia wao dhaifu. Wanapokea utukufu wao kwa kusimama mgongoni mwa waliovunjika. Hebu tazama utawala wa Islom Karimov katika nchi ya Uzbekistani. Na tunaweza kuwataja wengi—wafalme wadogo wanaofanya watu wao dhaifu ili wawe na utajiri na nguvu.

Utukufu wa Mungu Katika Injili huimarisha

Lakini sasa tofautiana na njia Paulo avutia kwa Utukufu wa Mungu. Kama kuna mfalme aliye na haki ya kuonyesha utukufu wake wote kwa kukanyaga migongo ya watu waasi na Mungu. Lakini ni nini anachokifanya? Anadhihirisha utukufu wake kwa kufanya watu wake wawena nguvu. “Sasa kwake yeye aliye na uwezo wa kuimarisha . . . uwe utukufu hata milele na milele . . . ” Mungu hudhihirisha utukufu wake kwa kuwafanya imara katika injili yake. Mungu hana hisia za hatari kamwe kutokana na nguvu zako. Kwa uhakika, kadiriunaimarika kwa imani, tumaini na upendo kupitia injili ya Yesu Kristo ndivyo anavyonekana mkuu zaidi. Munu halindi nguvu zake kwa kuwaweka watu wake dhaifu. Huinua utukufu wa nguvu zake kwa kuwafanya watu wake wenye nguvu. “Sasa kwake aliye na uwezo wa kuwafanya imara . . . atukuzwa.”

Basi Paulo anapofanya utukufu wa Mungu kuwa malengo makuu ya Injili . . . anapomalizia barua yake kuu zaidi kwa kuvutia kwake ukuu wa thamani wa utukufu wa Mungu. Hii si habari mbaya kwetu. Iwe tu kama twahitaji utukufu huo sisi wenyewe. Kwa nini hii isiwe habari mbaya kwetu. Iwe tu kama twahitaji utukufu huo sisi wenyewe. Kwa nini hii isiwe habari mbaya kwetu? Kwa sababu Mungu wetu huvutia kwa utukufu wake kwa kufanya watu wake wasiostahili  kuwa na nguvu. Kadiri utukufu wa Mungu unavyokuwa kubwa ndivyo chanzo chetu cha kutiwa nguvu zaidi. Kadiri utele na maajabu ya utrukufu wa Mungu, ndivyo utele na maajabu wa chanzo cha nguvu zetu. “Sasa kwake yeye aliye na uwezo wa kuwafanya imara . . . Utukufu una yeye milele na milele.”

Nguvu katika injili

Ni nguvu za aina gani Paulo ana maanisha kuwa Mungu anaweza kutupatia? Hakika mungu anaweza kupeana aina zozote za nguvu ambazo anataka—“Kwa Mungu wangu naruka ukuta.” (Zaburi 18:29) Hapa an maanisha nguvu ya aina moja katika Warumi 1:11-12. “Kwa maana ninatamani sana kuwaona, niwape kuwapa karama ya rohoni, ili mfanywe imara (ste’rikthe’nai neno sawa na mstari wa 16:25)—Yaani ili tufarijiane, kila mtu kwa imaniya mwenzake, yenu na yangu? Bayana ya nguvu hii ni Imani kwake Yesu Kristo.

Nguvu za akina mama katika injili

Si nguvu ulimwengu unafahamu wala kupeana. Wanawake, vigoi mnafikiria nini mkiwa mnatafakari kuwa mama mwenye nguvu? Au msichana mdogo unapofikiria kukua mzima mama mwenye nguvu unaota vipi? Kupata ubayana ni muhimu kwa kuwa Mungu anakutaka kuwa na nguvu na zote mbili kibibilia na kiujuzi zinakueleza kwamba kwa hisia moja kuwa wewe ni chombo kidhaifu (1 Petero 3:7) asilimia tisini na tano ya mwanaume aliyekomaa ulimwenguni wa nguvu zaidi kuliko asilimia tisini na tano ya wanawake waliokomaa. Unapoota kuwa mwanamke mwenye nguvu inafaa uotaje.

Ulimwengu utakuelekeza katika njia tatu za kutafuta nguvu zako (1) Kwa kuwa na mahaba, kujivaa kimahaba, kuwa na tabia za kimahaba, kwa sababu wanaume wanawapenda, unaweza kuwazidi nguvu kwa njia hiyo. (2) kuwa na msimamo mkali, mwenye nguvu, mkwenye mabavu na kujiamini. (3) Kuwa nadhifu na kupitia zote zinazokuelekeza katika nafasi ya Utawala. Hakuna hata moja Paulo anaongea juu yake anaposema. “Sasa kwake yeye alioye na uwezo wa kuwatia nguvu . . .”

Mawazoni Paulo ana uwezo wa ndani ambao Petero anautaja kwa wanawake. Katrika (1 Petero 3:6) Mahali Petero anasema kwa wanawake kuwa kama Sara na wanawake watakatifu kwa wakati huo: “Nanyi ni watoto wake, mfanyapo mema wala hamtishiki kwa hofu yoyote,” na aina ya nguvu ambao Methali 31:25 inaongea kuhusu inaposema, “Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake na anaucheka wakati ujao.”

Kwa maneno mengine, lwanawake, vigoli na wasichana wadogo huwa na ndoto kuwa wajasiri kwa Mungu, na ambao wako ndani ya Mungu kama mabanati wa mfalme wa mbingu na nchi na katika alichotenda kwenu na ahadi za kufanya kwako na kuwa yako ndani ya yesu Kristo, kwamba haugopi chochote ila Mungu cheka wakati ujao—Bila kujali umebeba nini. Mahaba kwayo nakuahidi utakosa na kupoteza—mwanamume atakayempata kwa mahabasi anayemtaka. Msimamo mkali utawafukuza wao hao ambao unawahitaji kando yako. Nafasi ya uongozi ni kama nyasi, upepo huivumia na hutoweka. Lakini nguvu Mungu hutupa kupitia Injili hudumu milele. “Sasa kwake yeye aliye na uwezo wa kufanya imara kulingana na Injili yangu . . . utukufu una yeye milele hata milele.”

Nguvu za Wanaume katika Injili

Wanaume, ghulamu je nyinyi? Mnapoota kuwa na nguvu, mwaota nini? Ambayo kwa siku moja mshikilie mkebe wa altoid na kuutazama kwa tamaa kubwa “Kwa nguvu”? Au kluiwa mchezaji bora kwenye mchezo Au kuwa kama mdudu (kiwavi shina) na kutumia mamlaka ya pesa? Au kuelimika na kusoma Atlantiki kila mwezi aidha kusizika NPR na kutaja majina yasiyoeleweka katika  mdahalo wa sherehe ya mvinyo?

Hapana! Hasha! Wapumbavu ndio watakao nguvu zinazofifia, nguvu za kupeana wakati tu unapohitaji zaidi. Nitakueleza aina ya nguvu Mungu ana uwezo wa kukupatia kwa njia ya injili. Ni nguvu za kuongoza mke wako na familia katika kuabudu: nguvu za kusema maneno rahisi ya ukweli kama hata umeilimika zaidi kwa mambo ya kiulimwengu, au mwenye daraja ya juu. Nguvu za kusimama imara na kusema hapana kwa tabia za dhambi hata kama unaitwa dhaifu. Nguvu za kupenya na kuendelea dhidi ya kila vikwazo ili kuleta haki, huruma na ukweli ukihisia kuwa hakuna tena himizo.

Nguvu kwa wote katika Injili

Mungu ana uwezo wa kuwaimarisha nyinyi nyote, wake kwa waume kwa nguvu za ndani ya nafsi kupitia imani ndani ya Yesu ambayo inakutia nguvu katika machela kuliko samaki (taa) elfu kumi wanaoogelea kwa miguu miwili kwenye upepo wa bahari wenye asili ya kisasa. Tunachohitaji ni aina ya nguvu ambazo zitakuwepo hapa ulemazwapo na kuweza tu kujibu maswali kwa ukope wa macho yetu. Tunafahamu zinatoka wapi: “Sasa, kwake yeye aliye na uwezo wa kuwafanya imara . . . Utukufu una yeye milele na milele.”

Hatuibui mahitaji yetu katika Injili

Na mtazamo muhimu wa mwisho ambao tutakuwa nao imekuwa ikifunuliwa kwa miaka saba na utakuwa ukifunuliwa kwa mafunzo manne zaidi kutoka kwa Warumi na ninaomba kila funzo hadi yesu arudi kuwa—“Mungu atutie nguvu kupitia injili.” “Sasa, kwake yeye aliye na uwezo wa kuwafanya Imara . . . kulingana na injili yangu.

Kiini cha injili ni kuwa Yesu Kristo, mwenye haki alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na akafufuka tena akawa na ushindi wa milele dhidi ya adui zake, ili kwamba sasa hakuna hukumu bali furaha ya milele kwa wale wanaomtumaini. Sasa basi kamwe usiibue mahitaji kwa injili hii. Usianze mwendo wa ukristo hivi halafubaadaye uiache nyuma na kujengeka katika jambo jingine. Mungu hutafanya imara kwa injili hadi siku ya kufa.

Nguvu ya injili dhidi ya Saratani

Nitawapa kielelezo bayana kutokana na  maisha yangu, na wengi wana hadithi kubwa kubwa ya kusimulia kuliko mimi kwa kuwa nguvu zenu zimejaribiwa kwa undani zaidi. Bali nitawakumbusha kwa kile Mungu alinitendea hapo nyuma Febuari wakati utafiti wa saratani ulipoletwa. Mungu alinitia nguvu kupita injili. Unaweza kuyambuka maandiko ambayo aliyatumia. Hakuna yaliyokuwa ya muhimu kwangu. 1 Wathesolonia 5:9-10, “Kwa kuwa Mungu hakutuweka kwa hasira yake, bali tupate wokovu, kwa bwana wetu Yesu Kristo ambaye alikufa kwa ajili yetu ili tuishi pamoja naye, kwamba twakesha au kwamba twalala.

Sasa kila kitu ndani yangu kinasema na kutumaini kusema wakati uchunguzi wa mwisho utakapokuja, “Sasa kwake yeye aliye na uwezo wa kunifanya imara kulingana na Injili yangu . . . Utukufu una yeye milele na milele kwa Yesu Kristo!” Amina.

Mungu wetu ametenda kazi katika historia kushinda dhambi na Shetani, jehanamu na mauti. Alifanya haya kupitiaInjili ya Yesu Kristo kumbatia Injili hii kama hazina kuu katika maisha yako. Mungu atadhihirisha utukufu wake kwa kukufanya Imara.